Vijana walioshiriki Kambi ya mafunzo kwa Vijana wa Vyuo na Vyuo Vikuu CCM, wakiwa ukumbini wakati wa ufungaji wa kambi na mafunzo hayo Hombolo mkoani Dodoma, juzi |
Vijana walioshiriki Kambi ya mafunzo kwa Vijana wa Vyuo na Vyuo Vikuu CCM, wakiwa katika mazoezi siku ya kumalizika kambi na mafunzo hayo Hombolo mkoani Dodoma, juzi |
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga akizungumza wakati ikifungwa Kambi ya mafunzo kwa vijana wa Vyuo na Vyuo Vikuu CCM katika eneo hilo la Hombolo mkoani Dodoma, juzi. |
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akizungumza wakati akifungua Kambi ya mafunzo kwa vijana wa Vyuo na Vyuo Vikuu CCM katika eneo hilo la Hombolo mkoani Dodoma, wiki iliyopita. PICHA: DANIEL ZENDA |
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇