Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban Mwengelo akizungumza na vijana na wanachama wa chama cha mapinduzi kata ya Hombolo mkoan Dodoma
Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban Mwengelo akitoa kadi kwa wanachama wapya wa chama cha mapinduzi kata ya Hombolo mkoan Dodoma
Wanachama wapya wakiala kiapo cha chama
Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban Mwengelo wa pili kulia akimuaga mwenyekiti wa UWT kata ya Hombolo Mjini .
Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban Mwengelo akizungumza na Wanachama wa UVCCM Chuo kikuu UDOM Mkoan dodoma.
Makada wa chama cha Mapinduzi wakijiselfii na kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi
MJumbe wa Baraza kuu Uvccm Taifa kupitia Mkoa wa Dodoma Ndg:Egla Mamoto akizungumza katika Mkutano wa Wanachama kata ya Chang'ombe.
Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban Mwengelo akizungumza na Wanachama wa UVCCM na CCM Kata ya Chan'gombe Mkoan dodoma.
Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg:Jokate Urban Mwengelo akitoa kadi kwa mmoja kati ya wanachama wapya Kata ya Chan'gombe Mkoan dodoma.picha na (FAHADISIRAJI)
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇