Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na
Michezo Mhe.Harrison Mwakyembe,Naibu Waziri wake Mhe.Anastazia Wambura,Waziri
wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba,baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania wakiwa katika picha
ya pamoja na Mshindi wa Miss Tanzania Supermodel Bi.Asha Mabula katika viwanja
vya Bunge mara baada ya mrembo uyo kutembelea Bungeni hapo leo Mjini Dodoma. Picha na Daudi Manongi-MAELEZO, DODOMA.
Your Ad Spot
Apr 25, 2017
Home
Unlabelled
MISS TANZANIA SUPERMODEL ATEMBELEA BUNGE MJINI DODOMA
MISS TANZANIA SUPERMODEL ATEMBELEA BUNGE MJINI DODOMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇