Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama
akisalimiana na Mkurugenzi wa Kitengo cha Maadhimisho Bi.Flora Mazeleng’we
alipotembelea uwanja wa Jamhuri Dodoma ili kuangalia maandalizi ya maadhimisho
ya Sherehe za Miaka 53 ya Muungano. Aprili 21, 2017.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Jordan
Rugimbana akizungumza wakati wa maandalizi ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka
53 ya Muungano katika viwanja vya Jamhuri Dodoma Aprili 21, 2017.
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya
maandalizi ya Maadhimisho ya Sherehe za miaka 53 ya Muungano wakimsikiliza Mkuu
wa Mkoa (hayupo pichani) wakati wa maandalizi ya sherehe hizo Aprili 21, 2017
Dodoma.
Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya
Maadhimisho ya Muungano Bw.Yusto Chuma akionesha michoro ya muonekano wa uwanja
wa Jamhuri kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe.Jenista Mhagama wakati
wa maandalizi ya Maadhimisho ya Miaka 53 ya Muungano yanayoendelea Dodoma
Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.January
Makamba.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akieleza
jambo wakati wa ziara ya kukagua maandalizi ya sherehe za Muungano katika
viwanja vya Jamhuri Dodoma wa kwanza kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu
wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.January Makamba na kulia Mkuu wa Mkoa wa
Dodoma Mhe.Jordan Rugimbana.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akitoa
maelekezo ya kuboresha maeneo kadhaa katika Uwanja wa Jamhuri wakati wa
maandalizi ya Shereha za Maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akitoa
maelekezo ya kuboresha maeneo kadhaa katika Uwanja wa Jamhuri wakati wa
maandalizi ya Shereha za Maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akiongea
jambo wakati alipotembelea Viwanja vya Jamhuri Dodoma ikiwa ni sehemu ya
maandalizi ya Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 53 ya Muungano. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU-DODOMA)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇