LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 25, 2017

WAZIRI NAPE NNAUYE AFUNGUA MASHINDANO YA KOMBE LA STANDARD CHARTERED KWA MWAKA 2017.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye akiongea na wageni waalikwa pamoja na wachezaji (hawapo pichani) wakati wa Ufunguzi wa Mashindano ya Kombe la Standard Chartered kwa Mwaka 2017 yaliyoanza leo 25/02/2017 katika Viwanja vya JK Youth Park (Kidongo Chekundu) Jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Standard Chartered (Tanzania) Bw. Sanjay Rughani akiongea na wageni waalikwa pamoja na wachezaji wakati wa Ufunguzi wa Mashindano ya Kombe la Standard Chartered kwa Mwaka 2017 yaliyoanza leo 25/02/2017 katika Viwanja vya JK Youth Park (Kidongo Chekundu) Jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Uamuzi Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Bw. Salum Chama akiongea na wageni waalikwa pamoja na wachezaji (hawapo pichani) wakati wa Ufunguzi wa Mashindano ya Kombe la Standard Chartered kwa Mwaka 2017 yaliyoanza leo 25/02/2017 katika Viwanja vya JK Youth Park (Kidongo Chekundu) Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye akipiga mpira kuashiria ufunguzi rasmi wa Mashindano ya Kombe la Standard Chartered kwa Mwaka 2017 yaliyoanza leo 25/02/2017 katika Viwanja vya JK Youth Park (Kidongo Chekundu) Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (katikati), Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Standard Chartered (Tanzania), Bw. Sanjay Rughani (kulia) pamoja na Mwenyekiti wa Uamuzi Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Bw. Salum Chamawachezaji  wakifuatilia mpira katika mechi ya ufunguzi kati ya Standard Chartered na Wenyeji (JK Youth Park) baada ya Ufunguzi wa Mashindano ya Kombe la Standard Chartered kwa Mwaka 2017 yaliyoanza leo 25/02/2017 katika Viwanja vya JK Youth Park (Kidongo Chekundu) Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye, Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Standard Chartered (Tanzania), Bw. Sanjay Rughani pamoja na Mwenyekiti wa Uamuzi Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Bw. Salum Chamawachezaji  wakiwa katika picha ya pamoja na timu mbalimbali kabla ya Ufunguzi wa Mashindano ya Kombe la Standard Chartered kwa Mwaka 2017 yaliyoanza leo 25/02/2017 katika Viwanja vya JK Youth Park (Kidongo Chekundu) Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye, Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Standard Chartered (Tanzania), Bw. Sanjay Rughani pamoja na Mwenyekiti wa Uamuzi Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Bw. Salum Chamawachezaji  wakifanya mazoezi ya pamoja na wachezaji wa timu kabla ya Ufunguzi wa Mashindano ya Kombe la Standard Chartered kwa Mwaka 2017 yaliyoanza leo 25/02/2017 katika Viwanja vya JK Youth Park (Kidongo Chekundu) Jijini Dar es Salaam.


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wachezaji wa timu mbalimbali zilizojiunga na mashindano baada ya Ufunguzi wa Mashindano ya Kombe la Standard Chartered kwa Mwaka 2017 yaliyoanza leo 25/02/2017 katika Viwanja vya JK Youth Park (Kidongo Chekundu) Jijini Dar es Salaam.
(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-WHUSM)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages