Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mgeni wake Rais wa Uganda,Yoweri Kaguta Museveni baada ya kuwasili
katika uwanja wa ndege wa Kimataija wa Julius Nyerere,jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Uganda,Yoweri Kaguta Museveni akikagua gwaride la heshima mara baada
ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius
Nyerere,jijini Dar.
Makamu
wa Rais Mama Samia akimkaribisha Rais wa Uganda,Yoweri Museveni mara
baada ya kuwasili uwanja wa ndege mapema leo kwa ziara ya siku
mbili,anaeshuhudia pichani kati ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
na mgeni wake Rais wa Uganda,Yoweri Kaguta Museveni wakiwa wamesimama
wakati wa nyimbo za Taifa zikipigwa.
Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan,Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na
Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Masharika,Dkt Augustine
Mahiga kwa pamoja wakiwa tayari kumpokea mgeni wao,Rais wa Uganda Yoweri
Museveni
Baadhi ya wageni waalikwa mbalimbali waliofika uwanja wa Ndege kumlaki Rais wa Uganda,Yoweri Museveni
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
na mgeni wake Rais wa Uganda,Yoweri Kaguta Museveni wakifurahia vikundi
vya ngoma za asili vilivyokuwa vikiburudisha mara baada ya Rais huyo
kuwasili.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇