Picha rasmi ya Ndugu John Pombe Magufuli, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi
Watumishi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, wakitazama picha rasmi ya Mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli, leo. Kutoka kulia ni Msaidizi wa Mkuu wa Utawala Ndugu Mwajuma Nyamka, Mwangalizi wa Ofisi Rose Francis, Katibu wa CCM wilaya ya Liwale, Raphael Maumba na Mlinzi Mkuu wa Chama, Donald Bura.
Nov 29, 2016
Home
Unlabelled
PICHA RASMI YA MWENYEKITI WA CCM, DK. JOHN MAGUFULI
PICHA RASMI YA MWENYEKITI WA CCM, DK. JOHN MAGUFULI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇