MAKONDA |
NA BASHIR NKOROMO, UBUNGO
Wakati imezoeleka kusikia kuwepo kwa wafanyakazi hewa leo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paull Makonda ameshangaa baada ya kubaini kuwepo barabara hewa ambayo ujnenzi wake umegharim mamilioni ya fedha katika kata ya Msigani, wilayani Ubungomkoani kwake.
Kuwepo kwa barabara hiyo kuliibuliwa miongoni mwa wananchi waliokuwa wakieleza kero zinazowakabili katika kata yao ya Msigani, Mkuu huyo wa mkoa alipokuwa akiwasiliza, wakati wa ziara yake ya kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi katika mkoa wa Dar es Salaam.
Makonda alielezwa kuwa ipo barabara ambayo imeeleza kujsngwa
kwa usimamizi wa mtendaji wa Kata hiyo, kwa baraka za halmashauri ya jiji la Dar es Salaam, lakini cha kushangaza barabara hiyo ikaelezwa kuwa haipo chini ya Mamlaka ya Usimamizi wa Barabara (TANROADS) wala Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ambayo ndiyo inayosimamia kwa kuwa kwa sasa bado Wilaya ya Ubungo haijawa na Halmashauri.
Ilielezwa katika mkutano uliofanyika kwenye Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa a Temboni Kata ya Msigani, kwamba barabara hiyo ni inayotoka Msigani kwenda Kinyerezi.
Kufuatia malalamiko kuhusu barabara hiyo, Makonda aliamuru Polisi kumsaka Mwenyekiti huyo wa mtaa na kumhoji pamoja na wale wote alioshirikiana nao katika kadhia hiyo..
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa wilaya ya Ubungo, Humphrey Polepole (kulia), kuhusu mradi wa maji wa Kata ya Temboni Kata ya Msigani, alipokagua mradi huo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi wa papo hapo au wa baadaye katika wilaya hiyo leo. Makonda akitazama tanki la maji la mradi huo.
Makonda akionyeshwa bomba la maji lililopo karibu na tangi la maji la mradi huo
Baadhi ya wananchi wakimweleza Makonda kero zao kwa njia ya bango alipokuwa kwenye mkutano kwenye Ofisi ya Mtendaji mtaa wa Temboni, Kata ya Msigani
Mkuu wa wilaya ya Ubungo Humphrey Polepole akitoa maneno ya utangulinzi kumkaribisha Makonda kuzungumzaa na wananchi
Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye mkutano huo
Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Makonda kwenye mkutano huo
Mkazi wa mtaa wa Temboni, Moreen Gomba akitiririka kueleza kero wakati wa mkutano huo uliofanyika mbele ya Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa wa Temboni, Kaya ta Msigani wilayani Ubungo
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akisikiliza kwa makini wakati wananchi wa Kata ya Msigani wakieleza kero zao kwenye mkutano aliofanya kwenye Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa wa Temboni, leo. Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Ubungo Humphrey Polepole.
Makonda akimhoji maswali Mtendaji wa Mtaa wa Temboni, Ramadhani Dilolo (kushoto), kuhusu kero zilizoelekezwa kwake na wananchi wakati wa mkutano huo
UZINDUZI MRADI WA MAJI KATIKA SHULE YA SEKONDARI GOBA MPAKANI
đź”»
Maelezo mafupi ya mradi huoMakonda akizungumza kabla ya kuzindua mradi wa maji uliojengwa na mfadhili katika Shule ya Sekondari Goba Mpakani
Makonda akizindua mradi wa maji katika shule ya sekondari ya Goba Mpakani, akiwa katika ziara hiyo, leo.
Makonda akimpongeza mfadhili wa mradi huo wa maji, Husein Afif, Kushoto ni Polepole
Makonda akimpongeza Polepole baada ya kuzindua mradi huo wa maji. Baada ya kuzindua mradi huo Makonda aliahidi kugharamia ujenzi wa visima vinane katika Kata ya Goba
MTAA WA MATOSA, KATA YA GOBA
Kijana akiwa ameshikiliza bango kufikisha kero kwa Makonda kabla ya mkutano wa hadhara uliofanyika mtaa wa Matosa kata ya GobaMkazi wa mtaa wa Matosa akifurahia jambo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanywa na Makonda katika mtaa huo leo
Makonda akimsilikiza kwa makini Polepole wakati akimshauri jambo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika mtaa wa Matosa
Wanafunzi wakitumbuiza kwa kwaya wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika mtaa wa Matosa
Makonda akizungumza wakati wa mkutano uliofanyika katika mtaa huo
Mwananchi wa mtaa wa Matosa akieleza kero kwa Makonda wakati wa mkutano huo
Wananchi katika mkutano wa hadhara wa Makonda katika mtaa huo
Mwananchi akifurahia jambo wakati wa mkutano huo wa Makonda katika mtaa wa Matosa
Makonda akienda kuizindua vyumba vya madarasa katika shule ya Matosa, Kata ya Goba wilayani Ubungo leo
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizindua ujenzi wa vyumba vya madarasa katika shule ya Sekondari Matosa, Kata ya Goba wilayani Ubungo
Makonda na Polepole wakisindikizwa na wananchi wakati akienda kuzindua ujenzi wa nyumba ya Walimu baada ya kuizndua ujenzi wa vyumba vya madarasa katika shule hiyo
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizindua ujenzi wa nyumba za walimu katika shule hiyo ya sekondari
Muonekano wa nyumba za walimu
UKAGUZI KITUO CHA UTABIBU CHA CHUO KIKUU CHA SAYANSI YA TIBA CHA MUHIMBILI (MUHAS) KAMPASI YA MULONGANZILA WILAYANI UBUNGO
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akipata maelezo alipokagua eneo la hifadhi ya umeme, kwenye kituo hichoMkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akipata maelezo alipokagua eneo la kuzalisha umeme, kwenye kituo hicho
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akipata maelezo alipokagua eneo la kutoa umeme wa dharua, umeme unapokatika kwenye mitambo ya kuzalisha umeme, kwenye kituo hicho
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiendeleakupata maelezo
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akikagua kwa kina eneo la mitambo ya kuzalisha umeme, kwenye kituo hicho
Makonda akitazama sehemu ya kunasa na kuhidhadhi kumbukumbu za matukio yanayofanyika katika jengo la Kituo hicho
Makonda akitazama kitanda na vifaa maalum katika chumba cha upasuaji
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha MUHAS,Profesa Elisias Lyamuya akitoa maelezo mbele ya Makonda kuhusu utendaji na changamoto za Kituo hicho Kampasi ya MUHAS ya Mulonganzila
Makonda akitoa nasaha zake kabla ya kuondoka kwenye kituo hicho
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa MUHASAmos Nnko akimsindikiza makonda wakati akiondoka
Makonda akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa MUHAS wakati akitoka kwenye Kampasi hiyo ya Mulonganzila
Mkuu wa wilaya ya Ubungo akizungumzana wananchi waliozuia msafara wa Makonda wakati akitoka kwenye kampasi hiyo ya Mlungazila, ambapo aliwaeleza kuwa hakukuwa na haja ya kuja kuonana na Makonda kwa kuwa alikwishazungumza nao kuhusu kero yao ya kupatiwa malipo na mambo mengi kutokana na kuchukuliwa naeneo na wengine kuvunjiwa nyumba wakati wa ujenzi wa kampasi hiyo ya Mlonganzila
"Mimi siyo mwanasiasa, Tafadhalini sana mtindo huu wa kuziba njia siutaki kabisa, ukome mara moja. Ninyi mnao viongozi wenu ambao wanapaswa kushughulikia kero zenu, tena Mkuu wa wilaya ameshazungumza na ninyi, sasa kituo gani kinasababisha mje hapa", alisema Makonda baada ya kufika lango kuu la Kampasi hiyo ya Mlonganzila wakati akipita baada ya Kamanda wa Polisi Kinondoni, Kaganda kuwataka waondoke mara moja baada ya maelezo ya Mkuu wa wilaya, Polepole
MKUTANO WA MWISHO MBURAHATI
Polisi wakimhoji kijana mfanyabishara katika Kituo cha Mabasi cha Ubungo, kwa tuhuma za kupangisha vizimba na kisha kuvipangisha kwa wengine jambo ambalo Makonda alisema, ni kinyume cha utaratibu na pia inasababisha serikali kupata kodi halali. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO-CCM Blog
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa wilaya ya Ubungo, Humphrey Polepole (kulia), kuhusu mradi wa maji wa Kata ya Temboni Kata ya Msigani, alipokagua mradi huo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi wa papo hapo au wa baadaye katika wilaya hiyo leo.
Makonda akitazama tanki la maji la mradi huo.

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇