Bodi ya Filamu Tanzania imetoa siku saba kwa Kampuni ya Usambazaji wa Filamu ijulikanayo kama ‘Pamoja Film Company’ kuwasilisha nyaraka za filamu zake ili kuhakikisha kama wamefuata sheria na kanuni zinazosimamiwa na bodi hiyo.
Hatua hiyo imefikiwa baada ya kampuni hiyo kubainika kukiuka baadhi ya sheria na kanuni za usambazaji zikiwemo za kutowasilisha miswada ya filamu (script) kabla ya kuanza kurekodi, kuzitangaza kazi hizo kwenye mitandao ya kijamii bila ya kuzifikisha Bodi ya Filamu Tanzania Kwa ajili ya ukaguzi pamoja na kufanya kazi za utengenezaji na usambazaji wa filamu bila kibali.
Agizo hilo limetolewa leona Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania, Joyce Fissoo alipokutana na Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Lufingo Exaud, kwenye kikao kilichofanyika ofisini kwake Jijini Dar es Salaam, ambapo amesisitiza kuwa kukiuka sheria...Kusoma zaidi habari hii tafadhali >>>GONGA HAPA
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇