Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu
Said Meck Sadiki kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Amina Juma Masenza kuwa mkuu wa mkoa wa Iringa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Daudi Felix Ntibenda kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Anne Kilango Malecela kuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Paul Makonda kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri Mkuu wa mstaafu John Samweli Malecela mara baada ya kukamilika kwa zoezi la uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wakuu wa mikoa wakitia saini kiapo ambacho kitakua muongozo mkuu katika utendaji wao wakazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan katika picha ya pamoja na Wakuu wapya wa mikoa mbalimbali nchini aliowateua hivi karibuni. Wengine katika picha ni viongozi mbalimbali wa ngazi za juu Serikalini.
Wakuu wa mikoa wakila kiapo. Picha na IKULU

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Zelote
Steven Zelote Kamishna Msaidizi Mwandamizi Mstaafu wa Polisi kuwa Mkuu wa Mkoa
wa Rukwa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Meja Jenerali Mstaafu Salum Mustafa Kijuu
kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Paul Makonda kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
kutoa maagizo kwa wakuu wote wa mikoa aliowaapisha Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri Mkuu wa mstaafu John Samweli Malecela mara baada ya kukamilika kwa zoezi la uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wakuu wa mikoa wakitia saini kiapo ambacho kitakua muongozo mkuu katika utendaji wao wakazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan katika picha ya pamoja na Wakuu wapya wa mikoa mbalimbali nchini aliowateua hivi karibuni. Wengine katika picha ni viongozi mbalimbali wa ngazi za juu Serikalini.
Wakuu wa mikoa wakila kiapo. Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇