Afisa Ardhi wa Wilaya ya Ngara, Betty Munuo wa Pili kushoto na Mwenyekiti wa kijiji cha Rwakalaman, Brighton Kemkimba (kulia) wakimsikiliza Waziri Mkuu wakati alipozunguma katika kijiji cha Kasulo wilayani Ngara machi16, 2016
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipitia majina ya watu wanaomiliki ardhi kubwa katika vijiji vya kasharaza na Rwakalemela wilayani Ngara aliyokabidhiwa na Afisa Ardhi wa wilaya hiyo Betty munuo katika mkutano aliohutubia kwenye kijiji cha Kasulo wilyani Ngara Machi 16, 2016.
Your Ad Spot
Mar 16, 2016
Home
Unlabelled
MAJALIWA ATOA MAAGIZO KUHUSU MGOGORO WA MASHAMBA NGARA
MAJALIWA ATOA MAAGIZO KUHUSU MGOGORO WA MASHAMBA NGARA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇