Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akibadilishana mawazo na Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka, baada ya kuwasili katika kijiji cha Kyamkwikwi, wilayani Muleba
Mbune wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage (kulia) akiselebuka ngoma ya asili na mwenzake wakati wa kumpokea Kinana Kijiji cha Kyamkwikwi |
Kinana akipatiwa maelezo kuhusu ujenzi huo
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwa na Profesa Anna Tibaijuka katika boti wakati wakijiandaa kusafiri kwenda kisiwacha Bumbile.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiielekeza boti eneo la kutia nanga ili Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana na ujumbe wake wasafiri nayo kwenda Kisiwa cha Bumbile
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipanda boti kutoka kijiji cha Kywamkwikwi kwenda Kisiwa cha Bubile |
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Nape (kulia) wakiwa na Profesa Anna Tibaijuka wakati safari ilipoanza kwenda Kisiwa cha Bubile.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇