Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akizungumza na Wawakilishi wa Afrika katika mkutano wa
Mazingira wa Dunia (Cop20) (hawapo pichani) alipokuwa akiwahutubia leo
Desemba 11, 2014. Katikati ni Waziri wa Mazingira wa Sudan, (kushoto) ni
Mwenyekiti wa Kamati ya Wataalam ya Afrika katika masuala ya
Majadiliano ya Mabadiliko ya Tabianchi kutoka nchini Sudan, Nagmeldin
El-Hassan. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiagana na baadhi ya wawakilishi wa Afrika katika mkutano wa
Mazingira wa Dunia (Cop20) baada ya kuwahutubia leo Desemba 11, 2014,
katika Mkutano wa Mazingira Duniani na majadiliano kuhusu Mabadiliko ya
Tabianchi, unaoendelea jijini Lima, nchini Peru. Picha na OMR
Sehemu ya Wawakilishi wa nchi za Afrika katika mkutano wa Mazingira Duniani, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akiwahutubia leo, Desemba 11, 2014, mkutano wa Mazingira Duniani (Cop20) unaoendelea jijini Lima, nchini Peru. Picha na OMR

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇