Rakesh Rajan Mkuu wa Twaweza akitoa utambulisho wakati wa mdahalo wa Tanzania kuelekea 2015,ambapo utafiti uliofanya na Taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza ambapo matokeo yalitolewa ,Maoni na matakwa ya wananchi juu ya uongozi wa kisiasa yalitolewa kwenye ukumbi wa Makumbusho Posta,Dar es Salaam.
Sehemu ya takwimu za matokeo ya utafiti uliofanywa na taasisi ya Twaweza
Kwa mujibu wa matokeo ya tafiti kwa ujumla yanaonyesha CCM bado inaongoza na karibu mara mbili ya idadi ya wahojiwa wanasema watawachagua wagombea wa CCM ukilinganisha na mpinzani wake Chadema ,Vile vile 54% ya walioshiriki kwenye utafiti wa Sauti za wananchi wanasema kuwa wao ni wafuasi wa CCM, wakati 27% walijitambulisha kuwa ni wafuasi wa Chadema.
Chati inayoonyesha matokeo ya utafiti wa uchaguzi 2015 itakavyokuwa baada ya vyama vya siasa kuungana.
Sehemu ya wahudhuriaji wa mdahalo ulioandaliwa na taasisi ya Twaweza.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akichangia mada kwenye mdahalo wa Tanzania kuelekea 2015.
Jenerali Ulimwengu kutoka gazeti la Raia Mwema akichangia mada kwenye mdahalo wa Tanzania kuelekea 2015 ambapo aligusia kuhusu uteuzi wa Viongozi pamoja na Katiba.
Paul Mashauri akichangia mada kwenye mdahalo ulioandaliwa na Taasisi isiyo ya kiserikali Twaweza kwenye ukumbi wa Makumbusho Posta.

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇