Makamu Wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini
kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Rais wa Zambia, Michael Chilufya
Sata, wakati alipofika nyumbani kwa Balozi wa Zambia nchini Tanzania, Judith
Kapijimpanga, jijini Dar es Salaam, leo Novemba 3, 2014. Picha na OMR
Makamu Wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana
na Balozi wa Zambia nchini Tanzania, Judith Kapijimpanga, baada ya kusaini
kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Rais wa Zambia, Michael Chilufya
Sata, nyumbani kwa, Balozi huyo jijini Dar es Salaam, leo Novemba 3, 2014.
Picha na OMR
Your Ad Spot
Nov 3, 2014
Home
Unlabelled
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA MSIBA WA RAIS WA ZAMBIA, MICHAEL CHILUFYA SATA
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA MSIBA WA RAIS WA ZAMBIA, MICHAEL CHILUFYA SATA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇