Pichani kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Mkombozi,Bwa Masha J. Mshomba akizungumza mbele ya Wanahabari (hawapo pichani),mapema leo jijini Dar kuhusiana na kuwafahamisha Watanzania kuhusu mauzo ya awali ya hisa
za benki yao ya Mkombozi,ikiwemo pia na kuwaomba Watanzania washiriki katika
ununuzi wa hisa za Benki hiyo ya Mkombozi,shoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Mkombozi Bwan. Edwina Lupembe.
Your Ad Spot
Nov 3, 2014
Home
Unlabelled
BENKI YA MKOMBOZI YATANGAZA MAUZO YA AWALI YA HISA ZAKE,YAWAOMBA WATANZANIA WAJITOKEZE KUZINUNUA
BENKI YA MKOMBOZI YATANGAZA MAUZO YA AWALI YA HISA ZAKE,YAWAOMBA WATANZANIA WAJITOKEZE KUZINUNUA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇