KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia), akimkaribisha Balozi wa Rwanda hapa nchini, Eugene Kayihura, kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu wa Balozi huyo, Ernest Bugingo.
Balozi wa Rwanda hapa nchini, Eugene Kayihura, akijitambulisha kwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo, katika Ofisi
Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia ni
Katibu wa Balozi huyo, Ernest Bugingo.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwa katika mazungumzo na Balozi huyo
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto), akimsindikiza mgeni wake, Balozi wa
Rwanda hapa nchini, Eugene Kayihura, baada ya mazungumzo yao,
yaliyofanyika leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba
jijini Dar es Salaam. Kuliia ni Katibu wa Balozi huyo, Ernest
Bugingo.
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia), akiagana na Balozi wa
Rwanda hapa nchini, Eugene Kayihura, baada ya mazungumzo yao
yaliyofanyika leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba
jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Bashir Nkoromo- CCM Blog).
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇