Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema ni
jambo nzuri kwa watu dhaifu kuungana,na inaonyesha ni kiasi gani CCM ni chama
imara hadi kufikia watu kuungana kwa ajili ya kushinda na chama kimoja.
Akizungumzia misingi ya kuungana huko amesema hakuna
msingi mzuri wa kuungana kwao hata kama wangekua na dhamira ya kweli,
Sauti ya Nape akizungumza na Uhuru Fm mapema leo.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇