LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 16, 2014

MWENYEKITI WA CCM RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA NEC LEO MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akipokea shangwe na wajumbe alipowasili katika ukubi wa Makao Makuu ya CCM Whie House kendesha kikao cha Hamlmashauri Kuu O(NEC ) ua CCM mjini Dodona leo jini. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, bdulrahman Kinnana na Makamu Mwnyekiti wa CCm (Bara) Phili Mangula.
 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akiwa ukumbini tayari kuongoza kikao hicho leo
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akishauriana jambo na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, kabla ya kikao hicho kuanza leo
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisoma Utangangulizi na kolam ya wajumbena kumkaribisha Kikwete kuongoza, kabla ya kikao hicho kuanza. Kulia ni Mangula
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akifungua kikao hicho
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao hicho
 Wajumbe wa kikao hicho, Ridhiwani Kikwete na Mama Salma Kikwete wakijadili jambo kikaoni
 POLE MWANANGU: Katibu Mkuu wa UWT, Amina Makilagi akimpa pole Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ambaye anauguza mkono alioumia kwenye mpira akiwa katika ziara mkoani Iringa hivi karibuni.

 Kaibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akimsalimia Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar), Vuai Ali Vuai ukumbini.
 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani, Joyce Masunga akimsalimia mjumbe mwenzake, Mama salma Kikwete ukumbini
 Makamu Mwenyekiti wa UVCCM, Taifa, Mboni Mhita na Katibu Mkuu wa Jumuia hiyo, Sixtus Mapunda wakipitia makabrasha kabla ya kikao hicho kuanza
 Waziri wa Sheria na Katiba Dk. Asha-Rose Migiro akijadiliana jambo na Naibu wake wakati wa kikao hicho,
 Wajumbe wakiwa ukumbini
 Katibu Mkuu wa CCM mstaafu, Wilson Mukama, akijadiliana jambo na Katibu wa NEC Oganaizesheni Asha Abdallah Juma kabla ya kikao.
Wajumbea wakiwa ukumbini kwenye kikao hicho. Picha zote na Bashir Nkoromo-CCM Blog

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages