Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipanga makabrasha tayari kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ambapo masuala ya kujiendesha kiuchumi na mipango ya maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa yanajadiliwa.
Katibu wa NEC
Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya
ukumbi wa NEC mjini Dodoma ambapo aliwaeleza juu ya kikao cha
Halmashauri Kuu
ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) jana Oktoba 16, 2014 katika siku
ya
kwanza ya kikao chake cha siku mbili kinachoendelea mjini Dodoma chini
ya Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya
Mrisho Kikwete imejadili na kupitisha Sera ya CCM ya kujitegemea
kimapato na
kiuchumi.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇