Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana Jumapili Julai 6, 2014 alitembelea
kwa mara ya pili maonesho ya kimataifa ya bishara katika viwanja vya
Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, baada ya ratiba
yake kutokamilika katika ziara yake aliyoifanya siku ya Jumamosi
kutokana na muda. Na kama ilivyo ada wananchi walifurahi kuwa naye
karibu kama ambavyo yeye pia alifurahi kujumuika nao kwenye maonesho
hayo ya kila mwaka.
Watoto ndio waliokuwa wakimvutia zaidi Rais Kikwete ambapo kila mara alisimama na kuwasalimia.
Picha na Ikulu.
Watoto ndio waliokuwa wakimvutia zaidi Rais Kikwete ambapo kila mara alisimama na kuwasalimia.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇