Mwakilishi wa Mbunge wa Mkulanga ,Omary Kisigalile (kushoto)akimkabidhi mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Mkulanga, Shabani Mandai (kulia) Cherehani 20 zilizotolewa na Mbunge wa jimbo hilo kwa ajili ya Vikundi vya wajasiliamali katika kata mbali mbali za wilaya hiyo. Wanaoshuhudia ni Hemed Freji na Catherin Lukas.
Katibu
wa UVCCM Wilaya ya Mkulanga Hemed Freji(kushoto) na Mwenyekiti wa
UVCCM Wilaya ya Mkulanga, Shabani Mandai wakionyesha jezi
walizokabidhiwa na mbunge wa Mkulanga iliwa ni ahadi alizotoa mbunge
huyo kwa wananchi katika hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo na
Cherahani kwa ajili ya wajasiliamali
Mwakilishi
wa Mbunge wa Mkulanga ,Omary Kisigalile (kulia)akiwakabidhi viongozi wa
UVCCM Wilaya ya Mkulanga, sehemu ya Cherehani 20 zilizotolewa na
Mbunge wa jimbo hilo kwa ajili ya Vikundi vya wajasiliamali katika kata
mbali mbali za wilaya hiyo.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇