Mbunge
wa Kigoma Kaskazini Mhe Zitto Kabwe akiwa na mama yake Mama Bi. Shida
Salum, enzi za uhai wake. Mhe. Zitto kupitia mtandao wa Twitter amearifu
kuwa mama yake amefariki dunia leo.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu Tanzania (CHAWATA).Bi Shida Salun,na Mjumbe wa kamati Kuu ya chama cha CHADEMA,aliyekuwa amelazwa chumba cha Wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum (ICU),katika Hospitali ya AMI,Masaki jijini Dar,ameaga Dunia.

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇