Viongozi Wakuu wa Nchi za
Afrika Mashariki wakiimba wimbo maalumu wa Afrika Mashariki, kabla ya kuanza
rasmi Mkutano wa Nne wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Ushirikiano wa Kanda ya
Kaskazini, uliofanyika jana kwenye Hoteli ya Speke Resort Munyonyo jijini
Kampala Uganda, ambapo Tanzania imeshiriki Mkutano huo kama Mwalikwa. Picha
na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kushoto) akizungumza katika mkutano huo. Picha na OMR
Rais wa Uganda Yoweri Museven, akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Nne wa wakuu wa Nchi wanachama wa Ushirikiano wa Kanda ya Kaskazini. Umoja huo unaundwa na nchi za Uganda, Kenya, Rwanda na Sudan Kusini,Tanzania na Burundi zimeshiriki mkutano huo kama nchi waalikwa ambao pamoja na mambo megine waliyojadili ni kukamilisha miradi mbalimbali inayofanywa kwa pamoja na ushirikiano huo. Picha na OMR
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo Ujumbe wa Tanzania
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kushoto) na Rais wa Burundi Gervas Rufykiri, wakitia saini kushiriki katika mkutano huo. Picha na OMR
Makamu wa Rais Dkt Bilal (katikati) akizungumza na Rais wa Uganda Yower Museven (kulia) baada ya Mkutano huo. Picha na OMR

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇