MWENYEKITI WA CHADEMA |
NA MWANDISHI WETU
SAFARI ya Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema) kuelekea katika uchaguzi mkuu wa 2015 imeelezwa kuwa
ni yenye kutia shaka na kimetabiriwa kufika mwaka huo kikiwa dhaifu.
Mwenendo wa matukio ambayo umma umeendelea kuyashuhudia ndani chama hicho wiki hii, msingi wake ukiwa ni kuvuliwa uongozi Zitto Kabwe na kuvuliwa uanachama kwa Dk. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba, ndiyo yaliyoibua hisia za namna hiyo miongoni mwa umma na jamii ya wasomi walioko ndani na nje ya chama hicho>>Soma Zaidi.

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇