Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimsaidia kumtwisha ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha Mwigumbi ,wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga baada ya kuzinduliwa kwa mradi mkubwa wa maji na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Pichani ni Tanki la Maji lenye uwezo wa kuwahudumia wakazi 4000, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alizindua mradi huo wa maji uliopo kata ya Mondo kijiji cha Mwigumbi wilaya ya Kishapu.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇