LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 18, 2013

VIONGOZI WA CCM WILAYA YA MAKETE WAHANI MSIBA WA KATIBU KATA ALIYEFARIKI HIVI KARIBUNI

Kutoka kushoto Katibu Mwenezi wa CCM wilaya Makete Tito Sovela, Katibu CCM wilaya Miraji Mtaturu, Mwenyekiti CCM wilaya Francis Chaula pamoja na mwenyekiti wa CCM Kata ya Luwumbu wakiwa nyumbani kwa marehemu Wilbart Kyando aliyekuwa katibu wa chama hicho kata ya Luwumbu aliyefariki hivi karibuni .
 Katibu wa CCM wilaya ya Makete Miraji Mtaturu akitoa salamu za pole kwa mjane wa marehemu kutokana na masiba mzito uliompata yeye pamoja na chama chake alichokuwa akikifanyia kazi

 Katibu wa CCM wilaya ya Makete Miraji Mtaturu akitoa salamu za pole kwa mjane wa marehemu kutokana na masiba mzito uliompata yeye pamoja na chama chake alichokuwa akikifanyia kazi

Mwenyekiti wa CCM Francis Chaula pamoja na Katibu wake Miraji Mtaturu na viongozi wengine wa chama hicho wilaya ya makete wakiondoka nyumbani kwa marehemu Wilbert Kyando mara baada ya kuipa pole familia hiyo kutokana na msiba wa kada huyo(Picha zote na Edwin Moshi, Makete)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages