![]() |
| Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali wakiwa pamoja kumpa pole Mzee Philip Mangula kwa kufiwa na mwanawe Nemela Mangula. |
![]() |
| Baadhi ya waombolezaji mbalimbali katika msiba wa Nemela Mangula wakiwa wamegubikwa na huzuni wakiwa nyumbani kwa baba wa Marehemu Masaki jijini Dar es salaam. |
![]() |
| Mzee Mangula akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali waliofika nyumbani kwake kumpa pole kwa kufiwa na Mwanawe. |
![]() |
| Akina mama mbalimbali waliojumuika na familia ys Mzee Mangula katika kuomboleza msiba wa Nemela Mangula. |
![]() |
| Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Uchumi na fedha Mama Zakhia Mengi akisaini Kitabu cha Maombolezo. |
![]() |
| Mama Asharose Migiro Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa SUKI akiwa katika maombolezo ya msiba wa Nemela P Mangula |
![]() |
| Paul Christian Makonda akisaini Kitabu Cha Maombolezo ya Msiba wa Mtoto wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa Bara Mzee Philip Mangula. |
![]() |
| Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Mecky Sadick akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Nemela Mangula mtoto wa Makama Mwenyekiti Bara Mzee Philip Mangula. |
![]() |
| Mama Salma Kikwete,Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa akiwa anasaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Nemela. |
![]() |
| Baadhi ya waombolezaji katika msiba wa Nemela Mangula |











No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇