Wana familia na waombolezaji wakiwa katika hali ya huzuni.
Wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia wakiwa wamebeba mwili wa Marehemu Nemela Mangula,mkoani Njombe.
Jeneza la Neema Philip Mangula
Watumishi wa CCM Makao Makuu wakibadilishana mawazo na Viongozi wa Dini wakati wa mazishi ya Neema Mangula.
Mahala ulipopumzishwa mwili wa Neema Mangula.
|
Pumzika kwa amani Neema,japo tulikupenda ila Mungu amekupenda zaidi, tunahakika ulipo sote tunakuja, umetutangulia. Tutakukumbuka daima!
ReplyDeleteAmen.
UVCCM MKOA WA IRINGA