![]() |
| Katibu Mkuu wa CCM, akisalimiana na wananchi wa Itigi. |
![]() |
| Katibu wa NEC ,Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana na wananchi wa Saranda, tarafa ya Kilimatinde, Wananchi wamefurahi kuona viongozi wao wakiwa nao pamoja na kusafiri nao pamoja. |
![]() |
| Ujumbe wa Sekretarieti ukisalimiana na Uongozi wa Tabora mara baada ya kuwasili hapo wakiwa njiani kuelekea Kigoma kwa kutumia usafiri wa Treni ya Reli ya kati. |



No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇