LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 8, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA WATANZANIA 3 KATI YA 7 TU WAISHIO MEXICO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal, wakiwa katika picha ya pamoja na Watanzania 3 kati ya saba tu (wawili kushoto na mmoja kulia) wanaoishi nchini Mexico, baada ya kukutana nao na kufanya mazungumzo, wakati akiwa nchini humo hivi karibuni. Nchi hiyo inawatanzania saba wanaoishi nchini humo na kufanya shughuli zao, ambapo hadi sasa wamebakia watanzania 3 baada ya wanne kujisapia kusikojulikana na wenzao hao. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages