![]() |
John Magale Shibuda akimsikiliza kwa makini Katibu wa NEC ,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye ndani ya ukumbi wa Kizota,kwenye mkutano mkuu wa nane wa Chama Cha Mapinduzi |
![]() |
| Kapteni John Chiligati akibadilishana mawazo na John Magale Shibuda kwenye ukumbi wa Kizota, ambapo mkutano mkuu wa nane wa CCM unafanyika. |


kunatofauti kati ya mwanasiasa na mwanaharakati mhe. Shibuda na mwanasiasa.
ReplyDelete