Asha Baraka akiwa ndani ya banda la gazeti la Uhuru kwenye viwanja vya Kizota Dodoma. |
Viwanja vya Kizota vikiwa vimefurika wajumbe na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi |
Biashara za aina nyingi zikiwa zimetanda kila kona. |
Ukumbi ukiwa umefurika wananchama na wajumbe wa Chama. |
Waalikwa kutoka vyama vya upinzani. |
Wajasiriamali hawakuwa nyuma kuuza bidhaa zao, Mkutano Mkuu wa nane wa CCM ulioanza leo umefungua fursa pekee kwa wafanyabiashara wadogo wadogo. |
Huduma za vyakula vya aina zote zinapatikana Kizota,eneo ambalo CCM inafanya Mkutano Mkuu wa nane. |
Wajumbe kutoka Mbeya wakionyesha ukakamavu wao kwenye ukumbi wa Mkutano Kizota leo. |
IJNAPENDEZA KUONA CHAMA KIKUU KAMMA CCM KINAENDELEA KUSIMAMIA MISINGI YA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI KWA KUALIKA VIONGOZI WA VYAMA VINGINE VYA SIASA.
ReplyDeleteBASI NI VYEMA KWA KILA MWANACHAMA ALIYEPO KATIKA MKUTANO HUO AU MAHALI PENGINE KUZINGATIA HILO KWA KUZINGATIA MISINGI HIYO KWA KUVUMILIANA NA KUACHANA NA UBAGUZI WA AINA YEYOTE KWANI TAIFA MOJA HUJENGWA NA WATU WAMOJA.
TUKUMBUKE WAKATI ULE WA MFUMO CHAMA KIMOJA KULIKUWA NA MSEMO USEMAO "CHAMA KIMOJA, ITIKADI MOJA" BASI TUENDELEE KUSEMA "VYAMA VINGI, TAIFA MOJA" BASI TULIJENGE KWA KUSHIRIKIANA ZAIDI.