BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Mheshimiwa Rais,
Nandika kwa niaba ya Jumuiya ya wanamufindi ni jumuiya ya watu zaidi ya 900 ambao wameungana kwa ajili ya kuchangia maendeleo ya mmojammoja binafsi na maendeleo ya wilaya yetu pamoja na taifa kwa ujumla. Umoja wetu hauna uhusiano na chama chochote cha siasa wala tasisi au dhehebu lolote la imani wala dini.
Mheshimiwa Rais, sisi wana mufindi tumetatizwa na utendaji kazi wa mkuu wa wilaya ya Mufindi mheshimiwa Evarista Kalalu, toka ameletwa wilayani kwetu ushirikiano wake na wananchi umekuwa ni mdogo na hivyo kufanya awe ni mkuu wa wilaya jina lakini utendaji wake haumridhishi yeyote hapa wilayani kwetu, amekuwa akishirikiana mno na wageni na wanasiasa wachache na kusahau kuwa yeye ni mtumishi wa wananchi. Kuna tuhuma nyingi pia zimekuwa zinajitokeza hapa lakini madiwani wetu wameshindwa kuchukua hatua za dhati kwa sababu ambazo hatuelewi, mfano tuhuma za mkuu wa wilaya huyo kuchota sh.millioni 240 kutoka mfuko wa elimu wa wilaya suala ambalo madiwani walilijadili,kukafanyika auditing na kudhihirika ila hakukuchukuliwa hatua yoyote,tatizo la vibali vya ukataji miti Sao Hill ambalo limeleta mzozo mkubwa hapa Mufindi na kuonesha udhaifu mkubwa wa Dc katika kulinda na kutetea maslahi ya wanamufindi ambao yeye ndo mwenye dhamana,matatizo ya mkuu wa wilaya kuwathibitisha baadhi ya wafanyabiashara kwa wananchi na mwisho wananchi kuibiwa, kuuzwa kwa ardhi kwa wageni huku dc akishindwa kuawashauri au kuwasimamia wananchi, kukosekana kwa mpangilio mzima wa watenda kazi ambao sisi tunawahitaji kila siku kama maafisa ugani,kukosekana kwa taarifa mbalimbali wilayani huku dc akihusishwa, na mwisho kisa kimoja cha ndugu mmoja aliyetoa msaada wa wheel chair,vitanda na magodoro ktk hospitali ya Mafinga vifaa ambavyo tunaamini ni msaada mkubwa sana kwetu na wagonjwa wanaohitaji huduma lakini cha kushangaza watendaji wa hospital hiyo wamekatazwa kuvitumia na Dc na mbunge wa Mufindi kaskazini kwa mtazamo kwamba huyo anayetoa msaada analengo la kugombea ubunge mwaka 2015.
mheshimiwa rais sisi hatuna nia mbaya wala ugomvi na mtu shida yetu tunahitaji mtu amabaye anaushirikiano,anasikiliza na kujali watu na mali zao. Hakuna mtu anayeweza kumshauri au kufanya lolote kwa dc kwa sababu ameteuliwa na wewe mkuu wa nchi. Ni sisi Jumuiya ya wana Mufindi. +255 713 464826

ReplyDeleteJUMUIYA YA WATU WA MUFINDI
BOX 19
MUFINDI IRINGA
www.mufindikwetu.kbo.co.ke
email:-mufindidevelopmentplan@gmail.com
31/7/2014

Nandika kwa niaba ya Jumuiya ya wanamufindi
ni jumuiya ya watu zaidi ya 900 ambao wameungana kwa ajili ya kuchangia maendeleo ya mmojammoja binafsi na maendeleo ya wilaya yetu pamoja na taifa kwa ujumla. Umoja wetu hauna uhusiano na chama chochote cha siasa wala tasisi au dhehebu lolote la imani wala dini.

mheshimiwa rais sisi hatuna nia mbaya wala ugomvi na mtu shida yetu tunahitaji mtu amabaye anaushirikiano,anasikiliza na kujali watu na mali zao.
Hakuna mtu anayeweza kumshauri au kufanya lolote kwa dc kwa sababu ameteuliwa na wewe mkuu wa nchi.
Ni sisi
Jumuiya ya wana Mufindi.
+255 713 464826

Kwa niaba ya JUMUIYA YA WANAUFINDI??
ReplyDelete