Msimamizi wa shughuli za ufufuaji Chuo Cha Chama Ihema mkoani Iringa, Simon Nchimba (wa nne kulia) na Nape ( watano kulia) wakitazama eneo la chuo hicho. |
Msimamizi wa Chuo Cha Ihemi Simon Nchimba (kulia) akimuonyesha Nape kisima cha maji kilichopo chuoni hapo chenye urefu wa futi saba. |
Nape akikagua mashine ya kukata ubao, katika chuo cha Ihemi, mkoani Iringa. Wapili kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Iringa Emmanuel Mteming'ombe na maofisa wengine wa Chama. |
Nape akikagua vifaa vilivyokuwa vikitumiwa na wanachuo kwa mafunzo ya useremala, chuo cha Ihemi hapo. |
Nape na Simon Nchimba wakiwa kwenye moja ya vitanda vilivyoko kwenye mabweni ya chuo cha Ihemi. |
Nape akimpa bendera ya CCM, mwananchi aliyeng'ang'ania kupewa bendera hiyo, msafara wa Nape ulipopita eneo la njia panda ya Chuo cha Ihemi. |
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇