Hakika Chama Cha Mapinduzi kina wenyewe na wenyewe ndio hawa. NGUVU YA CHAMA NI WANACHAMA WAKE. |
Umati wa wananchi wa Jiji la Dar es salaam waliojitokeza katika Mkutano wa Hadhara uliofanya katika viwanja vya Jangwani, leo Jumamosi ya Tarehe 09-06-2012. NGUVU YA CHAMA NI WANACHAMA WAKE. |
watu mbalimbali waliofika kuhudhuria. |
Shangwe kwa wanaCCM maeneo ya jangwani hivi sasa. Hakika ni Furaha tupu. |
Watu wakiwa wanaelekea katika viwanja vya jangwani tayari kwenda kuwasikia viongozi wao wakiwaambia mustakabali wa maisha yao; |
Furaha yatawala viwanja vya jangwani, watu wa rika zote wapo eneo hili wakiwa tayari kupata majibu kutoka katika Hotuba za viongozi wao. |
Tutimize tuliyowaambia hawa maana ndio njia pekee ya kuwafanya waendelee na imani yao kwa chama.VIVA CCM
ReplyDelete