LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 13, 2012

MWENYEKITI WA CCM, RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA WEBSITE NA BLOGU YA CCM MUDA HUU

Wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali vya elimu ya juu mjini Dodoma wakisubiri muda huu kuzinduliwa kwa Blogu hii ya CCM na Website, shughuli inavyofanywa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemno wajumbe wa NEC kwenye Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma jioni hii (Picha na Bashir Nkoromo).

1 comment:

  1. Mbona mapicha tu na link kwenda tovuti zingine. Kavu sana............

    ReplyDelete

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages