![]() |
Rais Dk. John Magufuli akisaidiwa na Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa kuzindua mradi wa maji wa Kibamba-Kisarawe katika sherehe zilizofanyika Wilayani Kisarawe Mkoa wa Pwani leo, Juni 28, 2020. |
Jun 28, 2020
RAIS DK. MAGUFULI AZINDUA MRADI WA MAJI KISARAWE, AMTUMBUA MTELA MWAMPAMBA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇