Jun 2, 2020

BENKI YA NMB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA MBALIMBALI VYA KUJIKINGA NA JANGA LA CORONA MKOANI MTWARA

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara Alphayo Kidata (kushoto) akipokea vifaa mbalimbali kwa ajili ya kujikinga dhidi ya janga la Corona kutoka kwa Kaimu Meneja wa tawi la NMB Mtwara Rosemary Moshi, ikiwa ni sehemu ya misaada inayotolewa na benki hiyo nchi nzima.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages