• Home
  • About CCM's Official Blog
  • Contact/Mawasiliano

CCM Blog
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • KIJAMII
    • SIASA
    • BIASHARA
    • UCHUMI
    • MICHEZO
    • BURUDANI
    • MAKALA
    • MAGAZETI
  • LATEST HEADLINES👉

    • featured

      DKT. TULIA AFUNGUA KIKAO CHA JUKWAA LA KIBUNGE UN

    • Afya

      ASKOFU CHANDE AMPONGEZA RAIS SAMIA KUBORESHA SEKTA YA AFYA VIJIJINI, KUDUMISHA AMANI

    • featured

      KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE AMPONGEZA RAIS SAMIA KAMPENI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

    • featured

      RC SHIGELA ATAMBA KWA MAFANIKIO YA GEITA AWAMU RAIS SAMIA

    • featured

      KILIMO CHAZIDI KUPAA ARUSHA

      

    May 2, 2020

    Home featured Habari JAKAYA KIKWETE AMZUNGUMZIA MAREHEMU MAHIGA

    JAKAYA KIKWETE AMZUNGUMZIA MAREHEMU MAHIGA

    Richard Mwaikenda May 02, 2020 ,featured ,Habari



    Makamu wa rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi ataongoza mazishi ya aliyekuwa waziri wa Sheria na Katiba Dr. Agustine Mahiga ambae alifariki jana Ijumaa jijini Dodoma, baada ya kuukua kwa muda mfupi.
    Dr. Mahiga atazikwa kwao huko Mkoani Iringa.
    Augustine Philip Mahiga, ni moja ya wanadiplomasia mahiri kuwahi kutokea nchini Tanzania...Balozi Mahiga, mwanadiplomasia nguli aliyehudumu kwa miongo mitano
    Pia ni moja kati ya watu wachache amabao wamefanya kazi katika ngazi za juu na awamu zote tano za serikali ya Tanzania kutoka kwa rais wa kwanza Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mpaka awamu hii ya rais John Pombe Magufuli. Rais wa zamani wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete ambaye alimfahamu na kufanya kazi na Dkt. Mahiga anamzungumzia...

    Maelezo zaidi kuhusu taarifa hii

    Safari ya utumishi wa Mahiga inatoka mwaka 1975 mpaka umauti wake 2020

    Balozi Agustine Mahiga na safari ya utumishi wa miaka 45 kwa Tanzania na UN

    Tags featured# Habari#
    Share This
    Author Image

    About Richard Mwaikenda

  • DKT. TULIA AFUNGUA KIKAO CHA JUKWAA LA KIBUNGE UN

  • KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE AMPONGEZA RAIS SAMIA KAMPENI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

  • RC SHIGELA ATAMBA KWA MAFANIKIO YA GEITA AWAMU RAIS SAMIA

  • By Blog CCM Blog Richard Mwaikenda - May 02, 2020
    Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
    Tags featured, Habari
    Newer Post Older Post Home
    Subscribe to: Post Comments (Atom)
    • blogger
    • disqus
    • facebook

    No comments:

    Post a Comment

    MAONI (COMMENTS)👇

    Post Top Ad


    ILANI YA UCHAGUZI YA CHAMA CHA MAPINDUZI YA 2025/30

    ILANI YA UCHAGUZI YA CHAMA CHA MAPINDUZI YA 2025/30

    KAULIMBIU YA CCM UCHAGUZI MKUU 2025

    KAULIMBIU YA CCM UCHAGUZI MKUU 2025

    WALIOTEULIWA NA CCM KUGOMBEA URAIS, MAKAMU UCHAGUZI MKUU 2025

    WALIOTEULIWA NA CCM KUGOMBEA URAIS, MAKAMU UCHAGUZI MKUU 2025
    Mgombea Urais, Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. Samia

    Mgombea Mwenza Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dk. Nchimbi

    Mgombea Urais wa Zanzibar, Rais Dk. Mwinyi

    Chagua Lugha/Translate Language👇





    Tafuta (Search) hapa👇

    CCM Blog. Powered by Blogger.

    Pages

    • Home


    Idadi ya wanaosoma CCM Blog

    6639032

    Tuma Ujumbe hapa

    Name

    Email *

    Message *

    This Blog Designed and Developed By Bashir Nkoromo | SoraTemplates | Property of Chama Cha Mapinduzi