Mar 3, 2020

THABITH ZAKARIA 'ZAKA ZAKAZI' ACHUKUA NAFASI YA JAFFAR IDD AZAM FC

Uongozi wa Azam FC umemtangaza mwanahabari mkongwe, Thabith Zakaria 'Zaka Zakazi', kuwa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha klabu hiyo akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaffar Idd, aliyepangiwa majukumu mengine ndani ya kampuni.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages