Mar 8, 2020

MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YALIVYORINDIMA KITAIFA MBELE YA MAMA SAMIA WILAYANI BARIADI MKOANI SIMIYU, LEO

Wanawake wakiwa kwenye Bajaji iliyokuwa ikiendeshwa na mwanamke mwenzao wakati wa Maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, yaliyofanyika Kitaifa yakiongozwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan , katika Uwanja wa Halmashauri Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu leo.

Wanawake wakiwa kwenye maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, yaliyofanyika Kitaifa yakiongozwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan , katika Uwanja wa Halmashauri Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu leo. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais. PICHA ZAIDI >>BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages