LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 12, 2020

KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM CHAFANYIKA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. John Magufuli akikaribishwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Bashiru Ally alipowasili kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, leo. 
Makamu Mwenyekiti wa CCM,Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein    akikaribishwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Bashiru Ally alipowasili kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, kushiriki katika kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, leo. 
Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan akikaribishwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Bashiru Ally alipowasili kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, kushiriki kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, leo. 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa   akikaribishwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Bashiru Ally alipowasili kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, leo. 

1 comment:

  1. Hakika mmebeba dhamana kubwa ya watanzania,endeleeni kusimama imara yanayofanywa na serikali ya CCM yanaonekana na tupo nyuma yenu na hakuna wakuiyumbisha CCM maana imejengwa katika misingi ya utanzania tangu enzi za mwalimu Nyerere na hiyo ndo inatutofautisha na vyama vingine vya maselaa,zaidi endeleeni kuwa dhabiti na imara,sisi watanzania tunazidi kuwaombea kwa Mungu@SHEDRAKA P.KAGIYE,Katibu Hamasa na Chipukizi UVCCM(W),KAKONKO.

    ReplyDelete

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages