BREAKING NEWS

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, July 31, 2018

CCM YAFAGIA UPINZANI KWA LOWASSA, MBUNGE WA MONDULI AHAMIA CCM USIKU WA KUAMKIA LEO

Mbunge wa jimbo la Monduli kwa tiketi ya Chadema Julius Kalanga  Laizer, usiku wa kuamkia leo amejivua uanachama wa Chadema, amejiuzulu nafasi yake ya Ubunge na vyeo vyake vyote ndani ya Chadema na Kujiunga na CCM.

Bwana Julius Kalanga Laizer amepokelewa na Kamaradi Humphrey Polepole Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi.

Imetolewa na,

IDARA YA ITIKADI NA UENEZI 
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM

No comments:

Post a Comment

Mdau, andikamaoni yako hapa yasaidie kujua wewe unafikiri nini kuhusu posti hii. Tafdhali, Maoni yako yasiwe ya uchochezi wa aina yoyote.. Mawasiliano yetu:- simu +255 (0) 712 498008, Email: nkoromo@gmail.com.
Bashir Nkoromo
Msimamizi Mkuu, Blog ya Taifa ya CCM.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages