Tuesday, June 27, 2017

KAMBI YA MAFUNZO KWA VIJANA WA VYUO NA VYUO VIKUU CCM YAMALIZIKA HOMBOLO MKOANI DODOMA, VIJANA WAMUUNGA MKONO RAIS DK. MAGUFULI

Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga akizindua ujenzi wa Ofisi ya CCM Tawi la Vyuo na Vyuo Vikuu Hombolo baada ya kumalizika Kambi ya mafunzo kwa vijana wa vyuo hivyo katika eneo hilo la Hombolo mkoani Dodoma, juzi.
Kaimu Katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo vya Elimu ya Juu Umoja wa Vijana wa CCM Daniel Zenda, akizungumza baada ya kumalizika Kambi ya mafunzo kwa vijana wa vyuo hivyo katika eneo hilo la Hombolo mkoani Dodoma, juzi.
Vijana walioshiriki Kambi ya mafunzo kwa Vijana wa Vyuo na Vyuo Vikuu CCM, wakiwa ukumbini wakati wa ufungaji wa kambi na mafunzo hayo Hombolo mkoani Dodoma, juzi
Vijana walioshiriki Kambi ya mafunzo kwa Vijana wa Vyuo na Vyuo Vikuu CCM, wakiwa katika mazoezi siku ya kumalizika kambi na mafunzo hayo Hombolo mkoani Dodoma, juzi
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga akizungumza wakati ikifungwa Kambi ya mafunzo kwa vijana wa Vyuo na Vyuo Vikuu CCM katika eneo hilo la Hombolo mkoani Dodoma, juzi.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akizungumza wakati akifungua Kambi ya mafunzo kwa vijana wa Vyuo na Vyuo Vikuu CCM katika eneo hilo la Hombolo mkoani Dodoma, wiki iliyopita. PICHA: DANIEL ZENDA
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.