Monday, December 5, 2016

KIKAO CHA KAMATI KUU CCM KUFANYIKA DAR ES SALAAM, DESEMBA 11-12 , 2016

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitafanya kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (CC)  Desemba 11 - 12/12/2016 na kufuatiwa na kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa Desema 13/12/2016.

Taarifa iliyotolewa na Sememani Mwenda kwa niaba ya Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendela, imesema, vikao vyote hivyo vitafanyika jijini Dar es salaam, na wajumbe  wote wa vikao hivyo wameombwa kuhudhuria.

Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.