Thursday, November 26, 2015

MWENYEKITI WA CCM DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE AENDELEA KUIMARISHA CHAMA.

Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Katibu Wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi, Ndugu Nape Nnauye na Katibu wa Halmashauri Kuu Oganaizesheni Ndg Mohamed Seif Hatibu katika ofisi yake Makao Makuu ya CCM, ofisi ndogo ya Lumumba jijini Dar es salaam, leo tarehe 26th Nov 2015.

Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mwanasheria wa CCM Ndg Godwin Kunambi nje ya Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es salaam, leo tarehe 26th Nov 2015.

Mlemavu wa Viungo Ndugu Elias Ismail Mollel kutoka Arusha akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete alipokuwa akitoka ofisini kwake, Makao Makuu ya CCM, Lumumba - Dar es salaam jioni ya leo tarehe 26th Nov 2015,

Mwenyekiti wa CCM na Rais Msataafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mlemavu wa miguu Ndg Mashishanga Masanja kutoka Nzega alipokuwa akitoka ofisini kwake Lumumba Jijini Dar es salaam.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akizngumza na Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kimnyaki Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha alipofika kumtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya CCM, ofisi ndogo za Lumumba Jijini Dar es salaam leo tar 26th Nov 2015.
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.