Wednesday, October 21, 2015

MAGUFULI AHUTUBIA SENGEREMA SEHEMU ALIYOFUNDISHA SEKONDARI

 Mgombea Urais upitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Sengerema waliojitokeza kwa wingi wenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye viwanja vya Mnadani, Sengerema.
Dk. Magufuli aliwaambia wananchi hao kuwa atakuwa kiongozi mwenye maamuzi makini na kufanya kazi kwa bidii katika kuleta maendeleo kwa Watanzania.

Mgombea Urais upitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Sengerema akihutubia maelfu ya wakazi wa wilaya ya Sengerema waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za CCM kwenye viwanja vya Mnadani.


 Hivi ndivyo viwanja vya Mnadani vilivyofurika wilayani Sengerema wakati wa mkutano wa kampeni wa Dk. John Pombe Magufuli akihutubia .

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaji Abdallah akihutubia wakazi wa Sengerema ambao walijitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kumnadi mgombea urais kupitia CCM,Dk. John Pombe Magufuli .
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya Linah akitumbuiza kwenye jukwaa la CCM wakati wa kampeni za kumnadi mgombea Urais upitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli.
 Msanii Malaika akishambulia jukwaa kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi Mgombea Urais upitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
Mgombea Ubunge kupitia CCM William Ngeleja akihutubia wakazi wa Sengerema kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye viwanja vya Mnadani, Sengerema.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.