Wednesday, November 12, 2014

TAFITI ZAONYESHA CCM BADO IPO JUU


 Rakesh Rajan  Mkuu wa Twaweza akitoa utambulisho wakati wa mdahalo wa Tanzania kuelekea 2015,ambapo utafiti uliofanya na Taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza ambapo matokeo yalitolewa ,Maoni na matakwa ya wananchi juu ya uongozi wa kisiasa yalitolewa kwenye ukumbi wa Makumbusho Posta,Dar es Salaam.
 Sehemu ya takwimu za matokeo ya utafiti uliofanywa na taasisi ya Twaweza
 Kwa mujibu wa matokeo ya tafiti kwa ujumla yanaonyesha CCM bado inaongoza  na karibu mara mbili ya idadi ya wahojiwa wanasema  watawachagua wagombea wa CCM ukilinganisha  na mpinzani wake Chadema ,Vile vile 54% ya walioshiriki kwenye utafiti wa Sauti za wananchi wanasema kuwa wao ni wafuasi wa CCM, wakati 27% walijitambulisha kuwa ni wafuasi wa Chadema.
 Chati inayoonyesha matokeo ya utafiti wa uchaguzi 2015 itakavyokuwa baada ya vyama vya siasa kuungana.
 Sehemu ya wahudhuriaji wa mdahalo ulioandaliwa na taasisi ya Twaweza.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akichangia mada kwenye mdahalo wa Tanzania kuelekea 2015.
 Jenerali Ulimwengu kutoka gazeti la Raia Mwema akichangia mada kwenye mdahalo wa Tanzania kuelekea 2015 ambapo aligusia kuhusu uteuzi wa Viongozi pamoja na Katiba.
 Paul Mashauri akichangia mada kwenye mdahalo ulioandaliwa na Taasisi isiyo ya kiserikali Twaweza kwenye ukumbi wa Makumbusho Posta.

Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.