Thursday, November 6, 2014

KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AKUTANA NA BALOZI WA RWANDA HAPA NCHINI, LEO JIJINI DAR ES SALAAM

 KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia), akimkaribisha Balozi wa Rwanda hapa nchini, Eugene Kayihura, kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu wa Balozi huyo, Ernest Bugingo.
 Balozi wa Rwanda hapa nchini, Eugene Kayihura, akijitambulisha kwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu wa Balozi huyo, Ernest Bugingo.
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwa katika mazungumzo na Balozi huyo
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto), akimsindikiza mgeni wake, Balozi wa Rwanda hapa nchini, Eugene Kayihura, baada ya mazungumzo yao, yaliyofanyika leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kuliia ni Katibu wa Balozi huyo, Ernest Bugingo.
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia), akiagana na Balozi wa Rwanda hapa nchini, Eugene Kayihura, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Bashir Nkoromo- CCM Blog).
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.